Asa'rile
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 438
- 120
WanaJF,
Nauliza hivi ule wimbo ni wa dini au?
Nilivyousikia kwa mara ya kwanza nikadhani ni Bony Mwaitege kaja na part-2 ya "Mama ni mama"
kabla ya kugundua kuwa ni sauti laini ya Papa Bello.
Kwahiyo Bella naye kajitosa huku ambako yuko Chidumule, Muhando Bukuku, Mzee wa upako au ?