RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,588
- 1,858
wakuu pole na majukumu kuna wimbo mmoja ni zilipendwa unaitwa "Nairobi" utakuwa uliimbwa na Les wanyika mwenye nao nauomba please
thanks ila sio huo ninao utakaNenda youtube utaupata na tafsiri yake
Nenda YouTube andika supu official video itakuja usisahau kuleta mrejesho
wakuu pole na majukumu kuna wimbo mmoja ni zilipendwa unaitwa "Nairobi" utakuwa uliimbwa na Les wanyika mwenye nao nauomba please
Labda "Nairobi Night" umeimbwa na Soukous Stars.wakuu pole na majukumu kuna wimbo mmoja ni zilipendwa unaitwa "Nairobi" utakuwa uliimbwa na Les wanyika mwenye nao nauomba please