Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limemkamata mkazi wa Chang?ombe Emmanuel William (35) kwa tuhuma za kupiga nyimbo za mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Chadema, Edward Lowassa kwa kutumia simu ya mkononi wakati akiwa kwenye foleni ya wapiga kura.
Kamanda wa Polisi Mkoani hapa, David Misime, amewaambia waandishi wa habari kuwa mpiga kura huyo alikamatwa katika kituo cha kupigia kura cha Chang?ombe siku ya Jumapili.
Kamanda wa Polisi Mkoani hapa, David Misime, amewaambia waandishi wa habari kuwa mpiga kura huyo alikamatwa katika kituo cha kupigia kura cha Chang?ombe siku ya Jumapili.