Wimbo wa Lowassa wamponza

Wimbo wa Lowassa wamponza

Nyie mnaoshabikia ndiyo wapumbav, yaani kupoteza pesa bure sababu ya kesi kama hii. Kama ni ringtone atakuwa alisahau kama ambavyo tukiwa airports tunasahau funguo au hata nyembe ktk koti. Unaelemishwa au onywa na kazi zinaendelea. Lakini inji hii ya masifa ili kupata vyeo basi huyo RPC au OCD ataonekana shujaa na atapewa post nzuri au hata kyeo..

Pathetic, bs badilikeni nyie malofa orijino karne mpya hii, tuwekeze nguvu ktk mambo ya maana.

WW foksi....ni foksi haswa....!!

Mapovu yote hayo si bure, hasira za nyumbani unazipeleka kazini
 
apigwe tu maana hamna namna....

tulikwisha ambiwa mwisho wa kampeni ni siku moja kabla ya uchaguzi ye anajifanya kichwa ngumu,
 
Hahaha hahah hahaa,

nyomi zote zile mitandaoni kumbe kweli zilikuwa za kutengenezwa, matokeo hayako direct proportional to nyomi. yako inversely proportional.
Ccm ni wezi sijapata kuona jumla inazidi wapiga kura hahaa halafu ukawa wakiongoza wanapunguza wanasema zimeharibika shuwain mtwara mnakula vyura akili mtatoa wapi nyie nendeni kwanza hampo Tanzania nyinyi
 
Nyie bana ,, mnatengeneza matokeo yenu halafu mnaanza kulalamika,,,, nyie kweli vilaza mnaotumiwa na mbow kadri anavotaka
 
Tanzania ujinga wa kuElewa jambo na kulifafanua unatutesa sna unakulupka na kukoment umetumwa au !!!! uyu jamaa sjaona kosa bali chama tawala kimezalisha wajinga wengi mpaka tunaonana vtuko,mungu wangu wafungulien watanzania walio fungwa na ficiem mpaka sasa wataishia segerea(jela) kwa kosa zsizo zao.elim hana,tv hana,makazi hana,kukicha afadhali ya jana cim kakamatwa na mulika mwiz kwanini asihishie jela.walio mkamata haki zao awazijui.
 
Ccm ni wezi sijapata kuona jumla inazidi wapiga kura hahaa halafu ukawa wakiongoza wanapunguza wanasema zimeharibika shuwain mtwara mnakula vyura akili mtatoa wapi nyie nendeni kwanza hampo Tanzania nyinyi

Una ushahidi wa hilo?
 
Kuoana, anamaanisha kuoana wao kwa wao(kaka na dada):what:
 
Back
Top Bottom