Wimbo wa kuingilia maharusi ukumbini

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,441
Reaction score
6,977
Wakuu habarini,

Kuna huu utamaduni wa wakati wa sherehe za harusi ambapo maharusi huingia ukumbini kwa wimbo maalumu.

Tuambie wewe uliingia au unatarajia kuingia na wimbo gani siku ya sherehe yako na kwanini ulichagua wimbo huo.

Karibuni.
 
Niache kuwaza namna gani naenda kugegeda nianze kuwaza nyimbo? wimbo wowote ilimradi mrume nimalize shughuli salama thereafter nikafanye yangu kunako 6 kwa 6.
Hahahaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…