Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 3,501
- 4,418
Nyota ya mkali wa Bongo Flava, Ali Saleh au Alikiba imeendelea kung'ara kwenye soka baada ya wi
mbo wake wa Huku kutumiwa mazoezini na klabu ya Liverpool ya Uingereza.
Hii ni siku chache baada ya Alikiba kutumbuiza kwenye ufunguzi wa michuano mipya ya soka barani Afrika ya African Football League (AFL), uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Ambapo ngoma hiyo ya ‘HUKU’ iliyoimbwa na Alikiba akishirikiana na Tommy Flavour imechezwa wakati wachezaji wa Liverpool FC wakiwa mazoezini.
Video ya wachezaji wa Liverpool wakifanya mazoezi huku wakitumbuizwa na wimbo huo wa Alikiba, ipo katika channel rasmi ya YouTube ya Liverpool.
Ova