The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Ya mabinti hii.......!!
1.Usiku kitandani nalimtafuta mpendwa wa nafsi yangu, nalimtafuta nisimpate.
2.Nikasema, haya, niondoke nizunguke mjini, ktk njia zake za viwanjani, nimtafute mpendwa wa nafsi.Nikamtafuta nisimpate.
3. Walinzi wazungukao mjini waliniona; Je! mmemwona mpendwa wa nafsi yangu?
4.Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, nikamwona mpendwa wa nafsi yangu;
Nikamshika nisimwache tena,
Hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu, chumbani mwake aliyenizaa.
5.Nawasihi, enyi binti za JF kwa paa na kwa ayala wa porini msi...
du kweli ni wimbo uliobora,na nikikuta mlango ni wazi nitakuhifadhi kwa mlango wa mieleziWimbo Ulio Bora 7:1-8
1 Siti msharifu, jinsi zilivyo nzuri Hatua zako katika mitalawanda. Mapaja yako ya mviringo ni kama johari, Kazi ya mikono ya fundi mstadi;
2 Kitovu chako ni kama bilauri iliyoviringana, Na isikose divai iliyochanganyika; Tumbo lako ni mfano wa chungu ya ngano, Iliyozungukwa na ugo wa nyinyoro;
3 Maziwa yako mawili ni kama wana-paa wawili, Ambao ni mapacha ya paa;
4 Shingo yako ni kama huo mnara wa pembe; Macho yako kama viziwa vya Heshboni, Karibu na mlango wa Beth-rabi; Pua yako ni kama mnara wa Lebanoni, Unaoelekea Dameski;
5 Kichwa chako juu yako ni kama Karmeli, Na nywele za kichwa chako kama urujuani, Mfalme amenaswa na mashungu yake.
6 Jinsi yalivyo mazuri, yalivyo matamu, Mapenzi katikati ya anasa!
7 Kimo chako kimefanana na mtende, Na maziwa yako na vichala.
8 Nilisema, Nitapanda huo mtende, Na kuyashika makuti yake. Maziwa yako na yawe kama vichala vya mzabibu, Na harufu ya pumzi yako kama mapera;
verse gani jamaa kaiimba 0713 ni bidhaa adimu?Wimbo uliobora unamatusi sana. hata tgo inaongelewa mule kwamba ni bidhaa adimu.