ramadhani kimweri
Senior Member
- Apr 22, 2016
- 165
- 169
Usiku kitandani namtatafuta mpendwa wa nafsi yangu nalimtafuta nisimpate . Nikasema haya niondoke nizunguke mjini katika njia zake na viwanjani nimtafute mpendwa . Mpendwa wangu ni kama kishada cha hina katika mizabibu huko moyon mwangu tazama u mzuri mpenz wangu u mzuri macho yako ni kama ya hua tazama u mzuri
Mpendwa wangu wapendeza na siwez kuishi katika uwanja huu wa dunia bila uwepo wako nakupenda nitakulinda daima
Mpendwa wangu wapendeza na siwez kuishi katika uwanja huu wa dunia bila uwepo wako nakupenda nitakulinda daima