Wimbo "Uchumi umeyumba" nitaupataje?

Wimbo "Uchumi umeyumba" nitaupataje?

anjnr

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
539
Reaction score
208
Samahani waungwana, kuna wimbo fulani niliusikia ktk kituo fulani cha redio skumbuki ni redio gani, unaitwa uchumi umeyumba, sijui ameimba msanii gani lakini amemshirikisha Chege. Niliusikia kipindi kifupi tu baada ya hapo sijausikia tena, ni miezi kama miwili hivi iliyopita. Kama kuna mwenye idea ya namna gani nawezakuupata anisaidie tafadhali, nilipenda sana ujumbe uliopo ktk wimbo huo.
 
Nenda Temeke wao wimbo wowote aliohusika Chege wanajua wapi zinapatikana. Uende na mask kuna moshi mzito huko
 
google page inaitwa bongo flavor 2012 kuna bonge la list nyimbo mbalimbali za kibongo zpo huko waweza tafuta na kuudownload kama ukipenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom