Wimbo mpya wa Zuchu wamekopi wimbo wa Beyonce Naughty Girl

Ka dada flani hivi kamebrandiwa na label Kali bongo inayobeba muziki wa East Africa iliyoteka nyoyo za mashabiki wengi chini ya Nyota wa muziki Africa Diamond Platnumz
Naye ni memba wa wasafi au kolabo imemkutanisha na dimond?
 
Sijui ndiyo ubunifu umeisha yaani wame copy na ku paste usher Raymond alivyovaa na kufunga kitambaa, ndivyo Diamond alivyofanya kwenye hii video mpya,hadi ma dancersnimeshindwa kuileta video ya naughty girl ya Beyonce.
Cha kufanya nendeni dm ya Beyonce kwa wingi kama mlivyofanya kwa yule mbrazil ili naye aposti ngoma ipenye hadi Marekani.

Diamond huwa anafanya makusudi kuwatega vilaza wenye chuki kama wewe.
Litawachoma inatoka soon. Karibu tena uangalie ikuchome halafu ukatafute wamekopi wapi ujipooze.
 
Zile ni suti au parachuti, yale masuti kama ya wabeba majeneza
Acha masihala hebu ona mwenyewe....................
images (7).jpeg
119715564_177961353854737_7157400111932855735_n.jpg

Ila jamaa wapo vizuri kama ulivyokuwa unasemaga wewe mwanzoni au umebadilisha mawazo kwamba leo HAWAPO VIZURI.

😀😀😀
 
Sijui ndiyo ubunifu umeisha yaani wame copy na ku paste usher Raymond alivyovaa na kufunga kitambaa, ndivyo Diamond alivyofanya kwenye hii video mpya,hadi ma dancersnimeshindwa kuileta video ya naughty girl ya Beyonce.
Yamekua haya tenaaa 😆 Muacheni kijana wa watu basi
 
Back
Top Bottom