Wimbo mpya wa Papi kocha - Injili

Wimbo mpya wa Papi kocha - Injili

Nadhami wengi mmeisikia kazi yao mpya , ukiusikiliza huo wimbo upo kihuzuni huzuni as if bado wana matatizo sijui nani aliwaelekeza au washauri kuandika wimbo huo

Sisi waumini wa kikristo tuna amini kipindi cha mateso huzuni utawara ila kipindi cha ufufuo furaha utawala mfano kipindi hiki cha kwaresma mpaka mateso ya yesu huwa wanyenyekevu tunabudu nk, ila siku ya ufufuo pasaka tunafurahi

Sasa hawa wazee tulitegemea rumba moja matata sana ili kumtukuza mungu kwa mema aliyowafanyia matokeo yake wao wanatuliza tena ili hali tushasahau machungu

Huu ni mda wa kusifu tu piga rumba turuke tucheze siyo kujiliza liza ovyo
 
ungeeleza tofauti ya hivyo vitu viwili!

utagundua hakuna ibada bila kusifu mkuu hakuna ibada bila kushukuru na kutoa sadaka!

by the way , wale wachukulie kama wanamuziki ea kawaida tu
 
Nadhami wengi mmeisikia kazi yao mpya , ukiusikiliza huo wimbo upo kihuzuni huzuni as if bado wana matatizo sijui nani aliwaelekeza au washauri kuandika wimbo huo

Sisi waumini wa kikristo tuna amini kipindi cha mateso huzuni utawara ila kipindi cha ufufuo furaha utawala mfano kipindi hiki cha kwaresma mpaka mateso ya yesu huwa wanyenyekevu tunabudu nk, ila siku ya ufufuo pasaka tunafurahi

Sasa hawa wazee tulitegemea rumba moja matata sana ili kumtukuza mungu kwa mema aliyowafanyia matokeo yake wao wanatuliza tena ili hali tushasahau machungu

Huu ni mda wa kusifu tu piga rumba turuke tucheze siyo kujiliza liza ovyo
Binadamu hamna jema.Mungu aliwaachilia huru kwa mkono wa mh.Magufuli,ninyi mkaendelea kuuhukumu muujiza wa Mungu,wengine hamkutaka warudi kwenye furaha yao,mlitaka waishi na hatia milele,acha wamtukuze Mungu...
 
BINADAMU hatuna wema kama MAPUMBU,,, yakikaa kati UNANIBANA,,, ukiyaweka mbele UNANICHORESHA,,, ukiyaweka nyuma UNANITENGA,,,, sasa hao watu wafanyaje? Wangeanza na RHUMBA mngesema badala ya kumshukuru MUNGU mmesahau shida ZOTE,, sasa wanapiga nyimbo za KUMSIFU MUNGU na kushukuru mnawasema,,, Hakika BINADAMU hatuna wema
 
gharama za utunzi wa mashairi na studio umewalipia mkuu ...au ndio nyinyi mpo kwaajili ykukosoa tu kila zuri na baya
 
Binadamu hamna jema.Mungu aliwaachilia huru kwa mkono wa mh.Magufuli,ninyi mkaendelea kuuhukumu muujiza wa Mungu,wengine hamkutaka warudi kwenye furaha yao,mlitaka waishi na hatia milele,acha wamtukuze Mungu...
Kuna aliyewatuma wakalawiti na kubaka?
 
BINADAMU hatuna wema kama MAPUMBU,,, yakikaa kati UNANIBANA,,, ukiyaweka mbele UNANICHORESHA,,, ukiyaweka nyuma UNANITENGA,,,, sasa hao watu wafanyaje? Wangeanza na RHUMBA mngesema badala ya kumshukuru MUNGU mmesahau shida ZOTE,, sasa wanapiga nyimbo za KUMSIFU MUNGU na kushukuru mnawasema,,, Hakika BINADAMU hatuna wema
Hahahaha kama mapumbu eti yaaan nmecheka sana,kwamba yakikaa kati unanbana,ukiyaweka mbele unanchoreshaukiyaweka nyuma unantenga hahahahaha jaman dah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom