Imenichukua muda sana, japo nimeelewa mlengwa tuNi shabiki wake wa kugalagala ila huu wimbo sijaupenda kabisa ,yaani amepuyanga kwa maoni yangu atoe mwingine .
Video nzuri ila audio hapanaaa na ameshootia video South kabisa !
Komando wangu Jide huu wimbo mashabiki zako hatujauelewa kabisa ,tafadhali tuletee mwingine
Ni huyo Mnaigeria au Mhabeshi?LAKINI NAUONA MZURI ILA HAUNA UENDELEVU MAN MLENGWA NI MMOJA