Wimbo Mpya wa Jide-I Miss You

Ni shabiki wake wa kugalagala ila huu wimbo sijaupenda kabisa ,yaani amepuyanga kwa maoni yangu atoe mwingine .

Video nzuri ila audio hapanaaa na ameshootia video South kabisa !

Komando wangu Jide huu wimbo mashabiki zako hatujauelewa kabisa ,tafadhali tuletee mwingine
 
Mi nilishasema humu, Jide fani analazimisha alikuwa anabebwa na promo tu. Na huu ni ushahidi tosha.
 
Ni shabiki wake wa kugalagala ila huu wimbo sijaupenda kabisa ,yaani amepuyanga kwa maoni yangu atoe mwingine .

Video nzuri ila audio hapanaaa na ameshootia video South kabisa !

Komando wangu Jide huu wimbo mashabiki zako hatujauelewa kabisa ,tafadhali tuletee mwingine
Imenichukua muda sana, japo nimeelewa mlengwa tu
 
LAKINI NAUONA MZURI ILA HAUNA UENDELEVU MAN MLENGWA NI MMOJA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom