Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,422
- 21,116
Huu ni mwimbo maalumu kwa ajili ya kumfariji shujaa godbles lema
Dah nikikumbuka lile tukio la familia ya lema ikirudishwa nyumbani huku kichwa chao cha familia akirudishwa kolokoroni huwa naikumbuka sana hii muvi