Wimbo Huu Wa Loketo Unaitwaje?

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,541
7,654
Niliusikia wimbo huu zamani ila leo nimeusikia tena, aisee humo ndani jamaa analikun'guta gitaa hatari sijui ni Diblo au Dally ila kuna sehemu kibwagizo kinaimba "tengalala tengalala..." Anayeufahamu tafadhali.
 
Valerie "VM" na Zenab zilizoimbwa kundi zima la Loketo zina kibwagizo hiko
 
Niliusikia wimbo huu zamani ila leo nimeusikia tena, aisee humo ndani jamaa analikun'guta gitaa hatari sijui ni Diblo au Dally ila kuna sehemu kibwagizo kinaimba "tengalala tengalala..." Anayeufahamu tafadhali.
Nadhani hata Line Rose pia ina kibwagizo hiko mwishonimwishoni
 
Mwenye kuujua wimbo unatumika kuikashffu asernal... Wa Fally pupa... Wamechana mkeka
 
Wimbo huo waliimba Tundaman na Yamoto Band,....utafute U-tube andika neno wamechana mkeka utakutana nao pamoja na huo walounganisha na video ya fally ipupa,mm ninayo imeshindikana kutuma......ila kama unaulizia Fally Ipupa alikuwa anacheza wimbo wake upi ingia u-tube andika neno Fally Ipupa Rehearsal utakutana na video halisi ya Fally Ipupa akiwa na bendi yake mazoezini akifanya mazoezi kibao tofauti na kile cha kutengenezwa kuwakejeli mashabiki wa Arsenal
 
Stop aretez
Sikiliza hiki kibao kinaitwa Zenab kilichoimbwa na Aurlus Mabele akiwa na kundi zima la Loketo,halafu sikiliza ikifikia 2.43 na sikiliza tena ikifikia 4.43....nadhani ndio hicho anachouliza jamaa hapo juu..Hiko kibwagizo kipo pia katika kibao cha Line Rose na Valerie" VM" vilivyoimbwa pia na Loketo
 
Attachments

  • AURLUS+MABELE+%26+LOKETO+-++zenab+%28+144+X+176+%29.3gp
    3.2 MB · Views: 33
Hata huo wa Valerie au VM vyovyote utakavyoandika hiko kibwagizo utakutana nacho ukifika kati,2.13,..2.16 au 2.19 kutegemeana na clip utakayoifungua U-tube....
 
Hewaaa! Ndio wenyewe mkuu! Ahsante.
Sikiliza hiki kibao kinaitwa Zenab kilichoimbwa na Aurlus Mabele akiwa na kundi zima la Loketo,halafu sikiliza ikifikia 2.43 na sikiliza tena ikifikia 4.43....nadhani ndio hicho anachouliza jamaa hapo juu..Hiko kibwagizo kipo pia katika kibao cha Line Rose na Valerie" VM" vilivyoimbwa pia na Loketo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom