Wimbo gan wa wa wcb unaweza kuufananisha na wa alikiba run dunia?

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
2,020
2,157
pia kuna mack muga
Pia kuna karim
Pia kuna mshumaa
Pia kuna njiwa

Hapo ni no featuring
 
Mondi zamani ndio alikuwa mtu.ukimwona nalikubali hadi kesho.ila sasa anaimba utupolo mtupu.anacho imba akieleweki kabisa..ila kama inamlipa sio kesi maana simpi ugali mie.ni mtazamo tu.
 
Back
Top Bottom