Wimbi la wazee vikongwe na ajira ya ulinzi

Unasahau kuwa
Wenngine ni wale walidhurumiwa na serikali yako?
Wengine ni wale walikupigania wakati wa vita ya Uganda na Tanzania
Wengine ni wale walisamehe shule ili wenzao katika familia waweze kusoma na kwa mapenzi ya Mungu hawakuweza kuendelea kuishi,
Usihukumu usije ukahukumiwa

ni kweli wengi wao ni wale wastaafu wa jumuia ya afrika mashariki.
 
Naona kama kwamba ulipokuwa unaandika huenda mlikuwa pamoja na lusungo. Sawa kabisa, lakini kesho yako huijui. Fikiri tu maneno ka haya, nami naku quote;

Chakujiuliza ni kuwa hivi hawa vikongwe walipokuwa kwenye system 'walikula ujana' pasi kujua kesho inajengwa na leo?
Hawa waajiri hawajawaona watu wenye sifa stahiki mpaka wawaajiri hawa vikongwe?

*kula sana ujana ukumbe fainali uzeeni*

Weye na lusungo, tayari mshafikia hiyo fainali au ndo mnajiona kama kwamba hao hawakuwa na akili? Jamani, msiseme hivyo. Hakuna hata mmoja wetu anayetamani kesho ije.
Wengi waliathiriwa na mfumo wa serekali isiyojali utu wa mtu. Wengi wameathiriwa na vijana wao walio angukia kwenye mawazo ya kutomjali mzazi wake.
Baba ni baba tu, hata kama kakupatia kwenye mbio za mwengi, ukiisha mjua, kama weye una nafasi nzuri, mpende tu, ni babako huyo kakuzaa.
 
sasa hapo ni mimi au wewe ndo mshabiki wa hisia?
Jaribu kuwa reality, unajua ni wastaafu wangapi wamelipwa pensheni zao mil. 30 mpaka 60 na maisha yao wameishia kolokoloni kama hao watajwa hapo juu?
Kama ulichezea ujana bado hilo linakuhusu, haiwezekani kipindi chote cha miaka 20 au 30 upo kazini ushindwe hata kujenga nyumba ya vyumba viwili au vitatu unasubili mpaka ustaaf matokeo yake ndo hayo nami nasema unastahili.
Hiyo pensheni uliyoipata unategemea ujenge, ule, usomeshe ufungue biashara ya mil. Wakati hujawai hata kufanya biashara ya kuuza mkaa matokeo baada ya miaka miwili chali kama ulishindwa kujijengea mazingira mazuri nani wa kumlaumu? Wastaafu wengine hata baada kustaaf wanaendelea kupata posho lakin bado maisha yao yamekuwa magumu.

*kilicho chacha leo utamu ulikuwa jana so play with stape*
 
Naona watu hapo juu, wamekazana eti waliuchezea ujana wao/
Sioo kweli walio wengi hawajawahi kuwa watumishi wa umma.
Tuwe wakweli jamani, maanas naona watoto waliozaliwa masaki
kwernye good life, hawajui hali zilivyo za wazee huku vijijini.

Kumbukeni taarifa ya juzi kuhusu wazee hapa Tz. Tz ni moja ya nchi
ambayo wazee wanaishi maisha magumu sana.
TUACHE DHIHAKA DHIDI YAO, WALIOKUWA WATUMISHI HAWAKUWA
MAFISADI
 
kuzaliwa masaki hakuku-halalishi kuwa na maisha mazuri milele, changamoto walizonazo wazee hata makundi mengine wanayo kuanzia watoto vijana nk. Lakini kama hukuutumia wakati wao vizuri ukangoja upewe feva kwa kigezo cha uzee unapoteza muda.
Hao hao unaowatetea wengine wameshindwa kurudi makwao sababu hawakuwa na msaada kwa ndugu zao. Just imagine umri wa 65 umestaaf serikali imekupatia mafao yako kwa wakati lakin we umeng'ang'ania Dar tena unaishi nyumba ya kupanga ukiulizwa kwenu aagh unasema dili zote mjini.
*matokeo yake ndio hayo nami nasema unastahili*
 
vijana ni waoga wakiona vibaka wanatoka baru.

Hata wazee ni waoga. Kuna mzee mmoja mlinzi vibaka walimvamia aliminywa pumbu balaa hakutembea wiki mbili. Mzee mwenzake alibadilishwa lindo kuja 'kumshikia' mwenzake apone maumivu ya pumbu, aliacha kazi...
 
sasa hapo ni mimi au wewe ndo mshabiki wa hisia?
Jaribu kuwa reality, unajua ni wastaafu wangapi wamelipwa pensheni zao mil. 30 mpaka 60 na maisha yao wameishia kolokoloni kama hao watajwa hapo juu?
Kama ulichezea ujana bado hilo linakuhusu, haiwezekani kipindi chote cha miaka 20 au 30 upo kazini ushindwe hata kujenga nyumba ya vyumba viwili au vitatu unasubili mpaka ustaaf matokeo yake ndo hayo nami nasema unastahili.
Hiyo pensheni uliyoipata unategemea ujenge, ule, usomeshe ufungue biashara ya mil. Wakati hujawai hata kufanya biashara ya kuuza mkaa matokeo baada ya miaka miwili chali kama ulishindwa kujijengea mazingira mazuri nani wa kumlaumu? Wastaafu wengine hata baada kustaaf wanaendelea kupata posho lakin bado maisha yao yamekuwa magumu.

*kilicho chacha leo utamu ulikuwa jana so play with stape*

Ahsante kwa kumjibu
 
Naumia sana kumuona mzee anaangaika kutafuta riziki. Its not fair at all. Hawa ndio waliweka misingi yataifa na taifa bila kubagua mzee yeyote ina wajibu wa kuwatunza kwa kuwapa huduma za kijamii social welfare. Watoto na akina mama wasiojiweza nao wanaangukia kundi hili la wazee. Inaniuma sana nchi yetu inaendeshwa kimungu mungu tu. Ustawi wa jamii unafanya nini????
Maui usiwalaumu Ustashi aw jamii, sealing la msingi ni kwamba hao Ustawi wa jamii wamewezeshwa na serikali kuhudumia wazee? Wenzetu ulaya na marekani wana taasisi za kijamii zinazoshugurika hadi na kuwatunza wazee.
 
Inabidi kuangalia kwa umakini kwani nina shaka na baadhi ya waajiriwa kuwa ni vibaka wanaokula njama na majambazi.
 
Hata wazee ni waoga. Kuna mzee mmoja mlinzi vibaka walimvamia aliminywa pumbu balaa hakutembea wiki mbili. Mzee mwenzake alibadilishwa lindo kuja 'kumshikia' mwenzake apone maumivu ya pumbu, aliacha kazi...

Dah we jamaa sehem nyeti Kama hizo unazitaja waziwazi!
 
Duuu wacha wapate riziki sisi tukifika ^60 hata kutembea ni shida
 
nimefanya uchunguzi na kugundua kuwa walinzi wengi katika maduka,ofisi na makampuni ni wazee sana kuanzia miaka 65 na kuendelea. yaani unamkuta mzee wa miaka 70.na kirungu chake na filimbi analinda mali za milioni 900. hivi kweli inaingia akilini? au ni kumjaribu mungu kwa sababu wakivamia majambazi yenye bunduki huyu mlinzi atapona kweli? au ndio kutafutiana lawama na kuziweka mali za kampuni katika risk kubwa. hakuna sababu ya kuweka walinzi vikongwe wakati kuna makampuni kibao ya ulinzi kama ultimate security. na mengineyo. tuache kumjaribu mungu sawa tuwatumie walinzi wa maana.
 
Mkuu huu Ni ukweli mchungu kabisa.Utakuta Mzee Yuko lindo amepiga usingizi.
 
Kama vijana hawazitaki hizo kazi. Acha wazee wachangamkie fursa.
 
Back
Top Bottom