Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,822
- 40,625
Nauli nishatoa sana mpaka najiulizaga sijui nina sura ya huruma sana. Naombwa sana stendi.
Mwingine mama kabisa siku kanisimamisha anasema mwanangu nina njaa nisaidie hata 1000 nikale na kavaa vizuri tu.
Mwingine mama kabisa siku kanisimamisha anasema mwanangu nina njaa nisaidie hata 1000 nikale na kavaa vizuri tu.