WIMBI LA "VITU HEWA"

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,227
6,666
Gazeti la Nipashe, Jumanne Desemba 27, 2016, limemnukuu Balozi Christopher Liundi, kuhusu kichwa cha habari hapo juu.

Hakika "vitu hewa" ndiyo maradhi makuu ya Watanzania kiasi cha kudidimiza uchumi wa nchi na mtu binafsi.

"Vitu Hewa" ni maradhi yanayopaswa kutafutiwa tiba haraka na siyo tu ya "uhakiki" unaoendeshwa na Serikali kwa sasa.

Baadhi ya dawa ni pamoja na kuliingiza suala la "Vitu Hewa" kulingiza katika Katiba ua nchi na vyama vyote vya siasa na kijamii. Kulitengezea sera.

Vitu Hewa = f(watumishi hewa, elimu hewa, uongozi hewa, madaraka hewa, nk) = maamuzi hewa, matokeo hewa, matumizi hewa, nk = ULAJI MTUPU
 
Back
Top Bottom