Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,119
- 173,952
Wazee kwema,
Aisee kuna haka kaupepo kabaya kanakopitia wana JF wenzangu dizaini kama tunachezea Vi ndula sana hivi karibuni.
Je, kinachochochea hii hali ni nini? Ni kwamba wadada wamekuwa na roho ngumu sana ama ni kitu gani? Reference kuna Msela wa manzese, mara C Programming hatujakaa vizuri Bilgert nae analalama wife anazingua na wengineo siwez wakumbuka. Bado upepo mbaya unazunguka katika mahusiano ya ma baharia wenzangu hivyo labda tujuzane tuchukue tahadahari zaidi.