Wimbi la vijana kuachwa ghafla katika nusu ya pili ya 2020

Nina jamaa kaachwa mara mbili mademu wote wameenda kuolewa na mijamaa yenye hela.Huyo demu wake wa kwanza alianza nae kipindi yy yupo A-Level demu yupo O-Level jamaa kamaliza chuo,akawahi kupata kazi baada akawa ana msaidia demu wake boom likikata,mpaka ada sometimes alikuwa ana msaidia .Kaenda field huko kakutana na Manager wa bank wakawa na mahusiano ya kisirisiri,jamaa anajipanga kutoa mahali 2016 manager akamu-overtake akawahi kutoa mahali.Jamaa alikonda alikuwa na kitambi chote kilipotea.

Nina mwana mwengine aliachwa baada demu wake kupata kazi alafu mwana alikuwa hana kazi,Mungu bariki mwaka jana kapata kazi mshahara 2.2m marupurupu kibao EX wake akimtazama anaona aibu.

Mademu siku hizi wanapenda hela mno,yaani kama ukiteteleka kiuchumi mda wowote unachezea kibuti.
 
Yan siku hiz ikifika weekend tu nakuchukulia Malaya tu najipigia na kondom tuna ishana hapo,Yan ukisema ukae kwenye mahusiano siku hiz muda wowote jiandae kuachwa mana hzo pesa za kuhudumia hata uwe na kipato Cha aje lzm uishiwe pumzi tu dadeki.
Unakimbizwa marathon had unatoka mbio mwenyewe 😂😂😂
 
Nina jamaa kaachwa mara mbili mademu wote wameenda kuolewa na mijamaa yenye hela.Huyo demu wake wa kwanza alianza nae kipindi yy yupo A-Level demu yupo O-Level jamaa kamaliza chuo,akawahi kupata kazi baada akawa ana msaidia demu wake boom likikata,mpaka ada sometimes alikuwa ana msaidia .Kaenda field huko kakutana na Manager wa bank wakawa na mahusiano ya kisirisiri,jamaa anajipanga kutoa mahali 2016 manager akamu-overtake akawahi kutoa mahali.Jamaa alikonda alikuwa na kitambi chote kilipotea.

Nina mwana mwengine aliachwa baada demu wake kupata kazi alafu mwana alikuwa hana kazi,Mungu bariki mwaka jana kapata kazi mshahara 2.2m marupurupu kibao EX wake akimtazama anaona aibu.

Mademu siku hizi wanapenda hela mno,yaani kama ukiteteleka kiuchumi mda wowote unachezea kibuti.
Dah kmmmk walai, yani sahivi bila mtonyo unakuwa safe zaidi ukiwa single 😂😂😂! Ukijitusu tu kuwa na demu umeumia.
 
Back
Top Bottom