Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
Miaka ya hivi karibuni migogoro imezidi kufukuta ndani ya ndoa nyingi na hata nyingi ya hizo kuishia kuachana. Kwa mfano wakuu wenyewe kama Dr. Slaa, Freeman Mbowe, Jerry Slaa n.k wamekubwa na wimbi hili na kuishia kuachana na wenzi wao. Mifano ni mingi kwa jamii iwe wa kiwango cha maisha ya chini, kati hata ya juu. TATIZO ni nini hasa au ndio kusema kuwa kina mama sasa wamefunguka na kwa sababu ya utandawazi?







