Wilson Oruma awatia gundu Simba SC huko Misri

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
1,412
Reaction score
5,151
Mimi nilijua tokea awali kuwa makolo hawawezi kutoboa katika ardhi ya firaun , hasa baada ya kumlipia tiketi ya ndege pamoja na malazi, mchambuzi mwenye njaa na makasiriko ya Yanga sc , ndugu wilson oruma a.k.a ngiri boy

GRfHvubW0AIDLj0.jpg
 
View attachment 3291460
Huyu jamaa uwa anavuta bahasha pale ukoloni na yanga walishamfungia vioo siku nyingi ndio maana chuki yake uwa aiishi kwa yanga,,Kuna mwingine yule Saleh jembe yeye anasema alinyimwa na yanga ubwabwa sasa akunaga kizuri anachoonaga yanga kafanya yeye kazi yake ni kuiponda tu sasa wanaaibika maskini
 
Yaani hao jamaa Huwa wananishangaza sana, huyu oruma alimuomba eng Hersi amsaidie pesa ya ada ya mtoto ,alipotolewa nje akawa mkali kama pilipili manga na tangu Siku hiyo aliapa kupambana na Yanga kwa kushirikiana na mbeba tunguli wa kusini Jemedari saidi
 
Back
Top Bottom