Wilson Kabwe amewahiwa asife "nyamafu"

Wilson Kabwe amewahiwa asife "nyamafu"

Ukawa na nyie safisheni jiji acheni tambo za mitandaoni tunataka kuona kazi saiti
 
Muogopeni Mungu!!!Rais ni mwajiri nambari moja hapa Tanzania.Mwajiri nambari moja hawezi kupewa mashtaka katika kadamnasi na akayaamini na kuchukua hatua,hilo ni kosa.Makonda ametafuta umaarufu ambao dhamira itamsuta mpaka kuingia kaburini.Waziri wa Tamisemi yupo kwa nini lisipelekwe kwake?
Kabwe ana shida nyingi mnolakini haya tunayoyaona tutakuja kukumbuka.Tunafurahia binadamu mwingine akiadhiriwa mbele ya kadamsi na tunashangilia,mmmh.Watanzani
Hili limekuwa tatizo kubwa sana. Lakini ndo maisha yalivyo kwani watu wanapenda sana kushangilia mateso ya mwingine. Kama Mhubiri anavyosema "hakuna jipya chini ya jua kwani yote yameshatukia". Mwangalir Yesu Kristo na Wayahudi, pamoja na miujiza yake lakini mbele ya pilato walidai asulubiwe.

Tanzania under Dr Yohana Pombe Magufuli is slowly but steadly decending to arnachy state.

Muda na ni muda pekee utakaosema!
 
Thanks,angalau kuna mtu kanielewa.Ukisikiliza clip ya Wenje huyu ana makosa mengi na kuna mfumo uliomlinda.Mfumo uliomlinda ndio unataka tuamini kuwa ndio wamegundua madudu leo.Sad!!!
 
Makonda alipangwa na kina kikwete... Aandae taarifa ili mkurugenz afukuzwe.. Ufisad wa kina kikwete usiwekwe hadharani
 
Makonda alipangwa na kina kikwete... Aandae taarifa ili mkurugenz afukuzwe.. Ufisad wa kina kikwete usiwekwe hadharani
Hii inaweza kuwa na ukweli ndani yake. Ukitaka kuprove hii tusubir tuone kama kuna taratibu za kisheria zitachukuliwa dhidi ya kabwe.
 
Back
Top Bottom