REAGAN C.MABOGO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,269
- 1,007
Baada ya CCM kushindwa kupora Umeya wa jiji la Dar es Salaam, wakaona UKAWA wataanza kufumua uozo wa CCM tangu uhuru miaka zaidi ya hamsini iliyopita. Kwahiyo wameanza kutulaghai kwa kujifanya eti wamegundua ufisadi wa Wilson Kabwe!
Kilichotokea leo juu ya Kabwe ni mwendelezo wa ulaghai ule ule. Wamemuwahi Kabwe asije akawafia kibudu (nyamafu) ndani ya mikono shupavu ya UKAWA. Walijua akishughulikiwa na UKAWA ,CCM watakosa sifa, wakaona "wamchinje" mapema ili asife kibudu na wamle japo hana ladha nzuri, wasije wakalazimika kumtupa, maana angekuwa mzoga.
UKAWA tufumulieni upya huo mkataba, hatujaona!