WILLOW SMITH ON VIA IG

Mzee wao ndo changamoto.
Hao madogo kua sawa, sijui kwakweli.

Wana mambo ya kiwaki, daily kwao ni majuto.
 
Em tuliza munkari kwanza dada na ufaham anayeongelewa ni nani😃😃😃, uyu sio jaden smith huyu willo smith dada yake na jaden, huyu aliimba wimbo wa whip my hair
Wanafanana sana jamani....
Haya nimeshatulia...
Kumetokea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…