Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

Status
Not open for further replies.

Mtu anayesimamia ukweli hawezi shindwa Maswali.hatungi majibu.kweli inamuweka huru
 
Tehe tehe tehe!!!!na kweli kama aliweza kumlaza ndani ya gari hilo litashindikana??
Babu padri kaona maswali ya Tido yatamuumbua Mshumbuzi akampiga beat usiende lasivyo atavunja huo mkono wa pili
 
Tido kagoma kuvujisha maswali atakayo muuliza dr. Cassava na mwakiembe yuko mbali. Unataka mzee wetu aaibike sio?
 
TUTAWALIPA FIDIA KIPUNGUNI A

Hivi, hii ni rushwa au fidia? Hapo kwenye kona ya gazeti, huu ni ukandamizaji. Serikali isilipe fidia watu ili fidia zao zitumike kama chambo ya kisiasa!
 
walinzi wake TISS wamekataa kumsindikiza au mwakyembe ajampatia mambo ya kusema leo

Aliharibu aliposema Magufuli kauza nyumba za serikali na pia kumpa nyumba kimada..so wamemwacha hewani na ulinzi wa chama nao hakuna.

Hana wiki atakimbilia UHAMISHONI.
 
Tido alipokuwa bbc viongozi walikuwa wanamhara maswali yake.
 
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.

Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.

Huyo Mzee aliyefilisika hawezi maswali ya Tido.

Wanaomfaa ni wale makanjanja wa StarTV na TBC 1. Kwa Tido huendi kimipashopasho!
 
Chezea Tido Wewe! Yule Mzee Tido Anamfaham Vizuri Hakopeshi Yule, Sio Mtu Unauliza Swali Eti Unajisikiaje Watu Wanapokwita Slaa
 
Nasikitika Slaa kukacha mahojiano na Tido, jana nimelipia kifurushi cha Azam ili nisikilize mahojiano. Anyway, kukaa kimya mara nyingine ni bora kuliko kusemasema sana, sasa atulie mazima.

Vv
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…