William Ngeleja kumrithi Muhongo

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,977
2,200
wakuu

baada ya uteuzi wa waziri Muhongo kutenguli na nafasi yake kubaki wazi
Ni suala la muda tu atakayetangazwa kuendeleza na kusimamia wizara nyeti hii ya nishati na madini ni aliyewahi kuwa waziri wa wizara hiyo na mbunge wa Sengerema Williamu Ngeleja!
 
Acheni jamani kuwachuria wenzenu. Mnajua wazi mkulu haambiwi wa kumteua. Sasa, akisoma hapa si tiyari mnamnyima Ngeleja ulaji huu?? Kumbuka, ndo mwanzilishi wa ulaji huu.
 
wakuu

baada ya uteuzi wa waziri Muhongo kutenguli na nafasi yake kubaki wazi
Ni suala la muda tu atakayetangazwa kuendeleza na kusimamia wizara nyeti hii ya nishati na madini ni aliyewahi kuwa waziri wa wizara hiyo na mbunge wa Sengerema Williamu Ngeleja!

muwe mnasoma katiba kabla ya kukaa kupiga ramli hapa na kutaka umaarufu kwamba ulitabiri, unakuaje waziri bila kuwa mmbunge. nafasi za uteuzi za ubunge kwa wanaume zimeshajaa...
 
prof mruma baada ya kazi safi ndiyo atakayepewa kiti cha muhongo bye bye muhongo umetuhadaa kwa mengi dowans hatujuh mwisho wake umeme kupanda kila kukicha gesi yetu lakini bado behi ni juu na dili la dangote kwenye makaa ya mawe du na sasa sakata la mchanga shame on yuuuuu muhongo
 
Unamfahamu William Ngeleja?
 
Sio issue anaweza kuteuliwa mbunge yoyote kuwa Rc Kilimanjaro then akaambiwa ajiuzulu ubunge then the chance is created
 
prof mruma baada ya kazi safi ndiyo atakayepewa kiti cha muhongo bye bye muhongo umetuhadaa kwa mengi dowans hatujuh mwisho wake umeme kupanda kila kukicha gesi yetu lakini bado behi ni juu na dili la dangote kwenye makaa ya mawe du na sasa sakata la mchanga shame on yuuuuu muhongo
Atapewaje Uwaziri wakati sio mbunge?
Teuzi za ubunge kaishazimaliza siku nyingi.
 
wakuu

baada ya uteuzi wa waziri Muhongo kutenguli na nafasi yake kubaki wazi
Ni suala la muda tu atakayetangazwa kuendeleza na kusimamia wizara nyeti hii ya nishati na madini ni aliyewahi kuwa waziri wa wizara hiyo na mbunge wa Sengerema Williamu Ngeleja!
home boy, inawezekana, kama bashite yupo why not ngeleja
 
Wakuu mi naona hii wizara ni vema ingeshikiliwa na Mkuu Magufuli Mwenyewe.. maana kwa miaka michache ilyopita kila anayekaa mule anaambulia ''mtumbuo'' lkn pia kwa kuwa Magu anauchungu na hii kitu madini ni vema akakaa mwenyewe.. ikumbukwe mule kwenye ile wizara kuna ulaji kwa iyo hata ukimuweka nani lazima apige tuu.....
lkn best of luck kwa atakaye teuliwa..
 
muwe mnasoma katiba kabla ya kukaa kupiga ramli hapa na kutaka umaarufu kwamba ulitabiri, unakuaje waziri bila kuwa mmbunge. nafasi za uteuzi za ubunge kwa wanaume zimeshajaa...
Unamfahamu William Ngeleja?
 
Ngeleja kamwe hawezi kulamba tena shavu.
Huyu ni kibaraka wa kambi hasimu dhidi ya Bwana yule.

Ila piga ua kwenye uteuzi huu lazima lafu za makablasha ndani ya baraza la mawaziri na Bunge zitabadilishana makazi.
 
Ngeleja ni mmojawapo wa mafisadi katika wizara husika enzi zake namkumbuka sana sana mbwembwe zake bungeni na hasa binti LULU.....
 
muwe mnasoma katiba kabla ya kukaa kupiga ramli hapa na kutaka umaarufu kwamba ulitabiri, unakuaje waziri bila kuwa mmbunge. nafasi za uteuzi za ubunge kwa wanaume zimeshajaa...
Unajidhalilisha mkuu,unajifanya unajua mambo makubwaaaa lakini hujui hata madogo,kwani mbunge wa sengerema ni nani kama siyo ngereja?
 
muwe mnasoma katiba kabla ya kukaa kupiga ramli hapa na kutaka umaarufu kwamba ulitabiri, unakuaje waziri bila kuwa mmbunge. nafasi za uteuzi za ubunge kwa wanaume zimeshajaa...
kama hujui kitu kaa kimya!
zaidi unajiaibisha tu
 
wakuu

baada ya uteuzi wa waziri Muhongo kutenguli na nafasi yake kubaki wazi
Ni suala la muda tu atakayetangazwa kuendeleza na kusimamia wizara nyeti hii ya nishati na madini ni aliyewahi kuwa waziri wa wizara hiyo na mbunge wa Sengerema Williamu Ngeleja!

Ungejua kuwa huyo uliyemtaja sasa hivi moja haikai wala mbili haikai kwa kuhofia kukamatwa muda wowote kwa Madudu yake alipokuwa katika hiyo Wizara wala usingekurupuka kuandika hivi. Ama kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Tena huu Uzi wako ndiyo unazidi kuwapandisha hasira wanaojiandaa kumkata ili kumshitaki pamoja na wale wenzie Watatu.
 
Back
Top Bottom