William Mukama live TBC1 sasa hivi

Amekiri kazi yake kupunguza mapengo ktk uadilifu wa uongozi ambao ulishapotea!
 
Ndio mkakati wa kutumia govt owned media for publicity and propaganda umeanza rasmi?
 
watachemka tu hata mimi nimemuona anabwabwaja bwabwaja na ndevu zake hawana jipya tumeshawachoka wanastuka muda ambao watanzania wameshafumbuliwa macho na vyama vya upinzani hasa chadema imetoa elimu ya uraia sana kwa wananchi
 
Back
Top Bottom