William Mhando MD Mpya wa TANESCO

William Mhando MD Mpya wa TANESCO

Habari za kuvunjika kutoka katika duru zenye uhakika zinadai kuwa Bw.William Mhando aliyekuwa GM Marketing Tanesco ameichukua nafasi ya kuongoza shirika hilo kongwe...
 
Habari hizi ni za uhakika zimetoka katika chanzo cha ndani na cha uhakika... Kwa wale wanaoamini Media zaidi karibuni katika taarifa ya habari ya TBC 1 saa 1 hii ya jioni...
 
Tatizo la tanesco ni political inteference. Hata akija nani mambo yatakuwa yale yale. Kila la heri Mr. Mhando
 
Aliyekuwa ana kaimu ni Eng Mabada sio Mhando ! Anyway Goodluck to Mhando
 
Aliyekuwa ana kaimu ni Eng Mabada sio Mhando ! Anyway Goodluck to Mhando
Hivi huyu Mhando ni Eng?. Kwangu mimi nadhani either Mabada au Mhaiki wangekuwa ma-MD wazuri.
 
Mhando ni Eng. japo... sidhani kama kuwa Eng. ndio mtu anakuwa kiongozi mzuri... wa Tanesco
 
By DAILY NEWS Reporter, 25th May 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 18

THE Board of Directors of the Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) has appointed Mr William Mhando the Managing Director of the firm effective from June 1, 2010.

Prior to the appointment, Mr Mhando who is an engineer by profession, was Tanesco's Manager for Power Distribution and Marketing.

He was employed by Tanesco in October 1989 as electricity engineer and he holds Master's degree in Electricity obtained from Havana, Cuba.

Mr Mhando also once served as Tanesco regional manager in Singida and Mbeya regions.
 
All the best...sijui nayeye ataleta hadithi nzuri au mbaya mbaya kama tulizozoea! Yote ataamua mwenyewe kadri ya utashi wake.
 
This guy was doing "Marketing" for TANESCO? R u kidding me? Sounds like he didn't have a real job.
 
Good luck Eng. Mhando.

You should follow the steps of the late Eng. Salvatory Mosha. He was dedicated to serving TANESCO whole heartily.

Be ware of political influence in your decisions and always advise the Board properly and let the Board of Directors take decisions on all key issues of policy and development of your organizations....
 
The guy must be fresh since is coming from the LONG HOLIDAY.
 
Back
Top Bottom