Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,686
...labda abadilike tabia ndio tutamkaribisha CDM vinginevyo abaki huko huko magamba.
haaaha bubu naona unampiga pini...mwache aje tu manake kwao hakubaliki sijui atakimbilia wapi akikataliwa na huku
ni kazi sana kuitetea ccm ama kuwa ccm hapa Tanzania ..mtu unapata shida sana kila sehemu ..huyu Willie nawapa miezi miwili lazima ajivue gamba ..karibu sana chadema jisikie uko nyumbani..
Malecela WJ Blog: PEOPLES POWER! M4CEEE!
Bila kubadilika atakuwa ni mzigo zaidi ya Shibuda
Halafu sijui ni kalogwa ,hashauriki kabisa .Sasa sijui atakuwa kiongozi wa aina gani maana yy kila jambo analolifanya yupo perfect hataki kukosolewa hata siku moja. Mungu ampe nguvu na woga wa kutoingia CDM kwa maslahi ya nchi.....Shibuda ni cha mtoto Mkuu
pole yenu chadema
Huyo mchukuweni haraka sana.
Huyo mchukuweni haraka sana.