Mjumbe wa baraza kuu Wazazi CCM, William Malecela amepost hii kwenye blogu yake akijishindanisha urembo na Bi. Flora Lyimo .
View attachment 169789
Makelele yamekuwa mengi sana nimesema hivi ninapata taabu sana kubishana na na hicho kimama kizee huko UK kinachopiga mapicha ya uchi kikiwa kimevaa machupi makubwa ya wanaume, I mean kwanza elimu hatufananani mimi nina Degree 3 hicho kizee ni darasa la Saba, halafu ninasema hivi hii ni
picha yangu ya leo asubuhi bila kunawa wala kuoga sasa hebu kiambieni na chenyewe hicho kibibi kizee kipige picha kama hii aubuhi kama hayakuwa majangaz ya ajabu! ha! ha! ha! ha! ha! ndio maana wengine tulienda majuu tukasoma shule masikini ya Mungu kibibi hiki kizee kimeenda majuu kujifunza kulilia kubakwa hata bila kubakwa,
kuvaa machupi ya wanaume na kujiweka mitandaoni kwa sababu hakuna binadam mwenye akili timamu anaweza vaa yale machupi kinavaa, sasa naomba tukate mzizi wa fitina kiambieni kipige picha asubuhi kama mimi muone majangaz!!
Wewe kibibi rudi nyumbani ukalime maana hayo machupi hakuna wa kununua yanakufanana wewe wenyewe tu! ha! ha! ha! ha! majuu miaka 20 umeshindwa hata kwenda shule ya kufagia sasa unaishia kulea wazee na matahira le mburulazzzz kwenu wamekusahau huwezi kurudi.
Sasa utaishia kutukana matusi watu ambao hamfanani wenzako humu online tunatafuta pesa wewe unatafuta matusi na michupi mikubwa ya wanaume kimama kizee huzuni sana, U know jipime hapa mimi na wewe U know! ha! ha! ha! - Le Big Show
---------------------
Angalizo: Tanzania inahitaji sheria Kama ya Museveni, Uganda .
Kwa asiyemjua Bi Flora Lyimo ni Huyu hapa
Kinky