William Malecela kupost nyaraka za ofisi ya mkuu wa Mkoa kwenye mitandao ya kijamii kinaendana na kiapo cha usiri alichoapa Mkuu wa Mkoa?

Si huwa mnataka na kulilia vithibitisho!? Mmewekewa Uthibitisho mnabadili GIA angani na kuja na "Kiapo cha Usiri"!
Mnasikitisha na kushangaza sana.
RC wa Daslamu amewakamata pabaya sana.
Kuanzia leo Mh. RC P. Makonda niitamwita The Teflon Don. Wachache watanielewa by that aka (Teflon Don).
Niko nje ya nchi..ningekuwa tanzania ningekutukana kinoma..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mange akitumia kiholela nyaraka za Ofisi ya Serikali kulichafua Taifa ni sawa na mnamuita Shujaa na dada wa Taifa. Ila akiposti @W.J Malecela katika harakati na juhudi za kuondoa taharuki katika jamii juu ya suala husika mnatukana na kutoa kauli za kejeli.
Jifunzeni kuheshimu mawazo na hoja za wengine
Haisaidii kitu
Mnada upo palepale kama ulivyopangwa jmosi 1st Sept 2018.
 
Si huwa mnataka na kulilia vithibitisho!? Mmewekewa Uthibitisho mnabadili GIA angani na kuja na "Kiapo cha Usiri"!
Mnasikitisha na kushangaza sana.
RC wa Daslamu amewakamata pabaya sana.
Kuanzia leo Mh. RC P. Makonda niitamwita The Teflon Don. Wachache watanielewa by that aka (Teflon Don).
RC Makonda ndo John Gotti wa dar es salaam, nobody can touch him, hadi atakapo choka mwenyewe kujiimbia na kucheza. Until then yupo anaimba huko "all i do is win win win no matter what..."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu kinachonishangaza huenda sielewi, najua viongozi huwa wana kiapo cha usiri hivyo haitakiwi kukuta nyaraka ya ofisi mitandaoni. Lemutuz angerusha nyaraka zilizokuwa na jina la Mh MKonda binafsi si shida lakini kama nyaraka zimeshakuwa za ofisi ya Mkoa nadhani si sahihi.
View attachment 851221
yanazidi kufukuliwa daaah JF naipenda saaana,naipenda JF zaidi ya kiburudisho changu,mwenyezi MUNGU azidi kumpa maisha marefu mkurugenzi wa JF
 
Ngoja tuone kama kawaida yetu Watanzania, hii ni Episode ya II; ya kwanza iliondoka na mtu.
 
Hivi serikali inamuogopa bashite au ni nini?
Mtu anakwamisha serikali kufanya kazi yake bado wanamchekea tu, huyu ikitakiwa awe ameshavuliwa huo ukuu wa mkoa na kushitakiwa siku nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
sema magufuli anamuogopa makonda? yes anamuogopa
inaonekana kuna siri kubwa bashite anaijua na akiianika jiwe litaumbuka
kwa hiyo namuona mpango akitumbuliwa
 
Back
Top Bottom