pgasper
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 311
- 70
uchokozi huo..ha ha haaa,atakuwa kavalishwa na nani,le mutuz au hakimu?
uchokozi huo..ha ha haaa,atakuwa kavalishwa na nani,le mutuz au hakimu?
Kumbe uzi wenyewe ni wa 2012
Waama kama kuwaasa nduguzanguni kuacha maneno ya inda na kupatana kiungwana ndiyo chuki yenyewe, wivu wenyewe na fitina yenyewe, basi mie sioni muhali kuikubali hiyo chuki, kuukumbatia huo wivu na kuikamata hiyo fitna bila saburi hata dahari.