William Malecela kuburuzwa mahakamani

Huyu Le Mtuz ni tatizo sana ..akae tu amuuguze mzee wake maana ile afya niliyomuona nayo juzi Dodoma ni chafu sana ...
 
Waama kama kuwaasa nduguzanguni kuacha maneno ya inda na kupatana kiungwana ndiyo chuki yenyewe, wivu wenyewe na fitina yenyewe, basi mie sioni muhali kuikubali hiyo chuki, kuukumbatia huo wivu na kuikamata hiyo fitna bila saburi hata dahari.

Ukiandika kiingereza unanipoteza, ukiandika kiswahili ndo napotea kabisaa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom