William Malecela kuburuzwa mahakamani

- ha! ha! ha! ha! kioo cha jamii my foot, huku futari ina uji una vitu flani kama pili pili hivi, lakini supa sana!! you know!!

Willie!!

Halafu wewe Willie ifike hatua ujue kwamba we ni mtu mzima. Watu wa umri wako hawaishi maisha kama haya yako. Halafu eti ndio alitaka kutuwakilisha EA?!
Mtu mzima lakini mambo ya kitoto kama nini. Shida yako ukikutana club na kina Diamond na Sinta basi unajiona ni saizi yao! We mbona ni makamo ya baba zao?
Mtu mzima ho...oooooo!!
 
Wanaume wa JF tumeanza kusutana na mipasho kama waimba taarabu? Shanga zinawahusu. Mie simo!!!!!!!!!!!!!:israel:
 
Halafu wewe Willie ifike hatua ujue kwamba we ni mtu mzima. Watu wa umri wako hawaishi maisha kama haya yako. Halafu eti ndio alitaka kutuwakilisha EA?!
Mtu mzima lakini mambo ya kitoto kama nini. Shida yako ukikutana club na kina Diamond na Sinta basi unajiona ni saizi yao! We mbona ni makamo ya baba zao?
Mtu mzima ho...oooooo!!

- Wivu, Fitina na Majungu, chuki binafsi zitawasumbua sana mwaka huu, brother karibu sana tupo mjini tunaendelea na maisha!1 ha! ha! ha!!

- Kuna saaa ya siasa na U-Celeb, so usichanganye!!

One of the key functions of a human head is to think, however, the head can also be used to grow hair and beard(MM)... what I was aiming when I initiated this thread is basically to fathom how weak, feeble, imature a mind of some one like Willie can be. Approximately 65 comments that came subsequently have attested my supposition. William is wasting a lot of energy and time to respond to trivial matters raised by someone registered here under a fake name...yet this Willie is leaving no stone unturned trying to secure a political post in this country....damn it!
 
sasa kama swala ushalipeleka mahakamani kwa nini tunalijadili hapa...ila mh kuvalishwa shanga?? yaani mi ningeambiwa hivyo lazima ningejiflush chooni....mwanaume kuvishwa shanga :biggrin1: le mutuz hapo kakupatia..
 
Nawaasa wasijisahau na kukosa hata kujiheshimu kidogo kwa kuendekeza majivuno ya mtandaoni. Watakuwa sio tu wanajitia aibu wao, bali hata familia zao ambazo wengine bado wanaziheshimu.

Nawaasa kama wao hawajiheshimu wafikirie familia zao basi.
Jamaa anaongea kama unabii vile...
 
- ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Watuwazima hawatishiani nyau wewe, ha! Ha! Ha! Wewe tangulia tu huko mhakamani! Ha! Ha! Ha! What a joker!

Le mutuz!!

Mtani vipi tena mbona unaniangusha? Mbona saikolojia yangu fupi inaniambia kuwa tayari umetishika? Maana mara nyingi ukiona mtu anatishiwa kitu halafu anaanza kucheka, the chances kwamba ametishika na vitisho vilivyotolewa ni 95%. Asiyetishika huwa hacheki, halafu anaongezeka ujasiri uliochanganyika na hasira kidogo, ... akija kutoa kitu hata chizi anaelewa maana ya mtu kama yule kutotishiwa nyau. Ila wewe umeniangusha, pengine labda ni maandishi yako tu. Hata hivyo naomba usijali sana, wewe ni mtani wangu!
 
Nimekosa uvumilivu na nimeamua kumfikisha william malecela kwenye vyombo vinavyohusika, hii ni baada ya kunitolea maneno ya kashfa na matusi kwenye mtandao huu baada ya kuhoji mwenendo wake wa maisha akiwa kama mtu tunayemtumainia kutuongoza siku za usoni aliandika hivi "umenifuatilia kwenye facebook ukataka nikusaidie kazi ya ukuwadi nika ku delete sasa unakuja huku JF angalia bwana hapa mjini utavishwa shanga" maneno haya hakika yameniudhi sana nafikiri kuna avenue ya kutosha kuweza kutengeneza mazingira ya litigation....laa sivyo afute maneno hayo na aniombe radhi laa sivyo nina msue kwa defamation na malicious utterances. Uzi alio nitukana upo hapa JF Naomba kuwasilisha!

I did not think you bleed when you are stabbed back. I did not that words hurt that much .
Sikiolakufa before you do anything just think of people that you have hurt. They probably felt more pain than what you are feeling right now. ALA KUMBE INAUMA?? SIKUJUA
 
- borther sipendelewi na anybody humu, na infact siku hizi nimejifunza kushiriki hapa bila kujihusisha na anybody hapa kama zamani kuepuka unafiki wa ajabu humu ndani, so kama una tatizo na mimi deal with me, nenda mahakamani kwanza wala usiwe na wasi wasi, watu wazima huwa hawatishinai nyau!! Ha! Ha! Ha! Unajua unanivunja mbavu sana!!

Biig shoow!!
Hivi kila siku kutokea kwenye magazeti ya udaku tena sio kwa sifa njema bali ukijirusha na vimada tofauti tofauti 'front page', hivi Le mutuz huoni ukakasi wowote katika hilo. Na kama ni uongo mbona hujakanusha au kuwashitaki mahakamani hata siku moja? au na wewe unaogopa mahakamani bana?

Hebu jibu hii kwanza halafu nitarudi baadaye.
 
Nimekosa uvumilivu na nimeamua kumfikisha william malecela kwenye vyombo vinavyohusika, hii ni baada ya kunitolea maneno ya kashfa na matusi kwenye mtandao huu baada ya kuhoji mwenendo wake wa maisha akiwa kama mtu tunayemtumainia kutuongoza siku za usoni aliandika hivi "umenifuatilia kwenye facebook ukataka nikusaidie kazi ya ukuwadi nika ku delete sasa unakuja huku JF angalia bwana hapa mjini utavishwa shanga" maneno haya hakika yameniudhi sana nafikiri kuna avenue ya kutosha kuweza kutengeneza mazingira ya litigation....laa sivyo afute maneno hayo na aniombe radhi laa sivyo nina msue kwa defamation na malicious utterances. Uzi alio nitukana upo hapa JF Naomba kuwasilisha!

Mkuu, maneno ya kwenye kanga yanakukatisha usingizi? acha hizo bana!
 
Kitu ninacho jifunza hapa ni kwamba kwa wale user ambao username zao zimekuwa verified iko hatari ya kushitakiwa kama utaandika kitu kinyume na sheria....au wanasheria mnasema je...
 
Kitu ninacho jifunza hapa ni kwamba kwa wale user ambao username zao zimekuwa verified iko hatari ya kushitakiwa kama utaandika kitu kinyume na sheria....au wanasheria mnasema je...

crashwise lazima pandikizi la baba nilibwage mahakamani
 
Back
Top Bottom