William Malecela kuburuzwa mahakamani

Nimekosa uvumilivu na nimeamua kumfikisha william malecela kwenye vyombo vinavyohusika, hii ni baada ya kunitolea maneno ya kashfa na matusi kwenye mtandao huu baada ya kuhoji mwenendo wake wa maisha akiwa kama mtu tunayemtumainia kutuongoza siku za usoni aliandika hivi "umenifuatilia kwenye facebook ukataka nikusaidie kazi ya ukuwadi nika ku delete sasa unakuja huku JF angalia bwana hapa mjini utavishwa shanga" maneno haya hakika yameniudhi sana nafikiri kuna avenue ya kutosha kuweza kutengeneza mazingira ya litigation....laa sivyo afute maneno hayo na aniombe radhi laa sivyo nina msue kwa defamation na malicious utterances. Uzi alio nitukana upo hapa JF Naomba kuwasilisha!

Sioni sababu yoyote ya kumchukulia hatua kwani umeficha uasilia wako katika jina bandia la sikiolakufa kwa maani hiyo hakuna madhara yoyote uliyoyapata. Yeye kwa kuwa anatumia jina halisi ndiye anayeweza kuumia zaidi
 
Last edited by a moderator:

Huyu jamaa anamtaka Le Mutuz, le baharia, biig show @Mtera City.
Haya majigambo yanamkuna sana huyu sikiolakufa
 
kwa mfano uko mtoni unakoga umeweka nguo zako pembeni akaja kichaa akazichukua na kukimbia nazo, UTAMKIMBIZA? Kama utamkimbiza nani kati yenu ataonekana kichaa? Tafakari! chukua hatua.
 
hivi huyu naye ni kiongozi wa siku zijazo?khee kweli Tanzania imekosa viogozi jamani
 
yani na wewe mvunja geti unanitusi? kudadadek nina maanisha lile tusi maarufu la kike

eh eh eh ehe eee.. mkuu GateCrasher jamaa amekudharirisha sana kukuita "wewe mvunja geti" halafu kaja kumaliza na tusi zito la nguoni "kudadadek". Yaani jamaa amemtukana mzazi wako hivyo.. hivi kati ya hapo bold na "utavishwa shanga" lipi baya zaidi?
mkuu nenda mahakamani mkondo wa sheria uchukue nafasi
 
Last edited by a moderator:
Wana jf naomba mwongozo: Hivi ID za jf na ushahidi unaohitajika mahakamani wapi na wapi? Mfano jina lako halisi ni Mwamadi, lakini kwenye jf unajiita Aunt Fulani, lipi litatambuliwa mahakamani?
 
we acha tu
huyu sikiolakufa anajua mitusi ogopa!
Hebu mwambie alete version ingine...
 
Wana jf naomba mwongozo: Hivi ID za jf na ushahidi unaohitajika mahakamani wapi na wapi? Mfano jina lako halisi ni Mwamadi, lakini kwenye jf unajiita Aunt Fulani, lipi litatambuliwa mahakamani?
Jina alilokupa mama yako.
Ukalitumia skuli,
na kwenye paspoti,
na kwenye kitambulisho cha mpiga kura.
 
Nduguzanguni,

Staha haiuzwi dukani, heshima ni kitu cha bure. Majivuno hayana mbeleko na kuvuma sana si kulima sana.

Kuna wadogo zenu wanashangaa.

Na hata sie wengine ambao hatukutegemea mengi kutoka kwenu, mnatushangaza kwa kwenda chini zaidi ya hata tulipotegemea.

Hebu na tushikane mikono na kumalizana kiungwana.Kuendeleza mgogoro huu ni kuonyesha kukosa hata surusu ya uanagenzi katika wanagenzi katika mafunzo ya staha.

Mnatoka katika familia zinazoheshimiwa na baadhi yetu, kama hamjiheshimu nyie wenyewe, fikirieni ahali zenu basi maana mnazivua nguo na kuziacha uchi wa nyama kabisa.
 
Nimekosa uvumilivu na nimeamua kumfikisha william malecela kwenye vyombo vinavyohusika, hii ni baada ya kunitolea maneno ya kashfa na matusi kwenye mtandao huu baada ya kuhoji mwenendo wake wa maisha akiwa kama mtu tunayemtumainia kutuongoza siku za usoni aliandika hivi "umenifuatilia kwenye facebook ukataka nikusaidie kazi ya ukuwadi nika ku delete sasa unakuja huku JF angalia bwana hapa mjini utavishwa shanga" maneno haya hakika yameniudhi sana nafikiri kuna avenue ya kutosha kuweza kutengeneza mazingira ya litigation....laa sivyo afute maneno hayo na aniombe radhi laa sivyo nina msue kwa defamation na malicious utterances. Uzi alio nitukana upo hapa JF Naomba kuwasilisha!
Mwanangu, kwani wewe ulimhoji kama nani? madhara ya kupenda kufuatilia mambo ya watu ni mengi na machungu sana mwanangu. Ona sasa kwa kimbele mbele chako umeishia kuvuna kitu kingine kabisa : Shanga
 
Na ww bwana ulichemsha! Ulitegemea huyo 'huligani' awe kiongoz wa nani? Labda wa familia yako. Sasa kujikomba kwako anakuzawadia sijui nini nini sijui kama zle wanatengeneza wamasai .
 
mi ata sielewi

Nawaasa wasijisahau na kukosa hata kujiheshimu kidogo kwa kuendekeza majivuno ya mtandaoni. Watakuwa sio tu wanajitia aibu wao, bali hata familia zao ambazo wengine bado wanaziheshimu.

Nawaasa kama wao hawajiheshimu wafikirie familia zao basi.
 
Back
Top Bottom