William Malecela kuburuzwa mahakamani

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Nimekosa uvumilivu na nimeamua kumfikisha william malecela kwenye vyombo vinavyohusika, hii ni baada ya kunitolea maneno ya kashfa na matusi kwenye mtandao huu baada ya kuhoji mwenendo wake wa maisha akiwa kama mtu tunayemtumainia kutuongoza siku za usoni aliandika hivi "umenifuatilia kwenye facebook ukataka nikusaidie kazi ya ukuwadi nika ku delete sasa unakuja huku JF angalia bwana hapa mjini utavishwa shanga" maneno haya hakika yameniudhi sana nafikiri kuna avenue ya kutosha kuweza kutengeneza mazingira ya litigation....laa sivyo afute maneno hayo na aniombe radhi laa sivyo nina msue kwa defamation na malicious utterances. Uzi alio nitukana upo hapa JF Naomba kuwasilisha!
 
Kabla hujaja hapa umesham PM kumweleza nia yako!?nauliza tu!
 
nimekosa uvumilivu na nimeamua kumfikisha william malecela kwenye vyombo vinavyohusika, hii ni baada ya kunitolea maneno ya kashfa na matusi kwenye mtandao huu baada ya kuhoji mwenendo wake wa maisha akiwa kama mtu tunayemtumainia kutuongoza siku za usoni aliandika hivi "umenifuatilia kwenye facebook ukataka nikusaidie kazi ya ukuwadi nika ku delete sasa unakuja huku jf angalia bwana hapa mjini utavishwa shanga" maneno haya hakika yameniudhi sana nafikiri kuna avenue ya kutosha kuweza kutengeneza mazingira ya litigation....laa sivyo afute maneno hayo na aniombe radhi laa sivyo nina msue kwa defamation na malicious utterances. uzi alio nitukana upo hapa jf naomba kuwasilisha!

- ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Watuwazima hawatishiani nyau wewe, ha! Ha! Ha! Wewe tangulia tu huko mhakamani! Ha! Ha! Ha! What a joker!

Le mutuz!!
 
- ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Watuwazima hawatishiani nyau wewe, ha! Ha! Ha! Wewe tangulia tu huko mhakamani! Ha! Ha! Ha! What a joker!

Le mutuz!!
kumbe upo online...tayari nimeandaa mchakato....kama huniombi radhi hatua za kisheria zitafuata ndipo utakapolia na kusaga meno.
 
malecela nakuunga mkono asilimia 99.999999 nakushauli umpeleke icc hapa bongo atawaonga majaji
 
pombekali gongo kwa kweli nina hasira sana amenidhalilisha

Kaja hapo juu!!, huwa ninaamini katika busara na kujiuliza mara mbilimbili kabla sijafanya maamuzi, ni vema kuangalia the best path to end this!
 
eti we malecela umevalishwa SHANGA kwali au ni maneno ya vijana nahitaju JIBU
 
hayo ni matusi ni mahakama ndiyo itaamua lakini mimi namheshimu sana william kama kiongozi halafu anatoa maneno makali ya matusi simuelewi kabisa nampa masaa 24 aniombe radhi
Kwani ulikuwa na mpango wa kuzivaa?
Au unazivaa?
Mbona unapenda kukuza mambo yasiyo?
Hapa JF tuna mahakama yetu,
Majaji ni mods, ukitukana unaenda jela (BAN) wala hakuna kesi wala kujitetea.
Iweje iyo ya kwako>
Au biashara matangazo?
 
Inavyoelekea ma mods wanampendelea William maana hajafungiwa licha ya kunidhalilisha mbele ya uma sasa atakutana na full force of our justice system
 
Inavyoelekea ma mods wanampendelea William maana hajafungiwa licha ya kunidhalilisha mbele ya uma sasa atakutana na full force of our justice system
Don't make me puke!
"full F.u*ck...ing force of..."
Be serious!
 
inavyoelekea ma mods wanampendelea william maana hajafungiwa licha ya kunidhalilisha mbele ya uma sasa atakutana na full force of our justice system

- borther sipendelewi na anybody humu, na infact siku hizi nimejifunza kushiriki hapa bila kujihusisha na anybody hapa kama zamani kuepuka unafiki wa ajabu humu ndani, so kama una tatizo na mimi deal with me, nenda mahakamani kwanza wala usiwe na wasi wasi, watu wazima huwa hawatishinai nyau!! Ha! Ha! Ha! Unajua unanivunja mbavu sana!!

Biig shoow!!
 
yaani unanitukana halafu unasema nakuvunja mbavu? are you serious?
 
Back
Top Bottom