MNAKUMBUKA KIPINDI MAGUFULI ALIPOPITA TOP 3 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA KUMTAFUTA MGOMBEA URAIS CCM? WILLIAM LUKUVI ALIKUA MPAMBE WAKE KIPINDI MAGUFULI AKIASALIMIANA NA WAJUMBE NA HAKUTAKA KUMUACHA KWANI WALIKUA BEGA KWA BEGA.KATIKA WATU WALIO KARIBU NA MAGUFULI NA ANBAO MAGUFULI ANAOWAKUBALI LUKUVI NI MMOJA WAPO. NA KUNA KILA DALILI JP MAGUFULI AKISHINDA ATAMTEUA YEYE KUA PM.
By Abel sere from Moshi
Yaani Lukuvi awe PM...!!!
Kama JK aliweza kuwa Rais atashindwa Lukuvi? kama mtu kama Magufuli ambaye thinking yake inaonekana ni hafifu sana amepewa agombee Urais atashindwa Lukuvi?
Ndo maana nilikubaliana na kauli ya Sumaye kuwa TZ inahitaji kuwa na vyama vikubwa mbadala hii ya CCM tuu inaleta madhara kama hayo...
Uko isimani jimboni hali tete
MNAKUMBUKA KIPINDI MAGUFULI ALIPOPITA TOP 3 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA KUMTAFUTA MGOMBEA URAIS CCM? WILLIAM LUKUVI ALIKUA MPAMBE WAKE KIPINDI MAGUFULI AKIASALIMIANA NA WAJUMBE NA HAKUTAKA KUMUACHA KWANI WALIKUA BEGA KWA BEGA.KATIKA WATU WALIO KARIBU NA MAGUFULI NA ANBAO MAGUFULI ANAOWAKUBALI LUKUVI NI MMOJA WAPO. NA KUNA KILA DALILI JP MAGUFULI AKISHINDA ATAMTEUA YEYE KUA PM.
By Abel sere from Moshi
Lowassa HAWEZI mteua mtu wa darasa la 7 awe PM,kikubwa zaidi Lukuvi SIO UKAWAKiukweli Lukuvi anastahili kuwa waziri mkuu. Nchi itaendeshwa kwa uadilifu na uwajibikaji mkubwa sana. Pia anauzoefu.
Nenda Isimani kabla hujatoa hitimisho!Lukuvi ana hali mbaya zaidi y uchaguzi wowote alio wahi kushiriki!Kupanga na MAMA Abwao kama ajiondoe Isimani ili wasigawane kura CCM A na CCM B(ACT-Wazalendo)hakujawasaidiaWala Lukuvi ata ahangaiki na kampeni ndio maana unamuona yupo busy na migogoro ya ardhi mikoa mbalimbali, kwenye ubunge Ismani Lukuvi hana upinzani, ni suala la kukamilisha ratiba tu.