William Jackoracha anatafutwa na ndugu zake, msaada tafadhali

chukuachako

JF-Expert Member
Nov 13, 2014
1,195
806
William Jackoracha alitoweka kwa Dada yake miezi miwili iliyopita kwa lengo LA kwenda kujiunga soba ila tangu aondoke hajawahi kuwasiliana na ndugu yoyote tumejaribu kufatilia huko Soba napo Hanna taarifa zake, Mara ya mwisho alionekana tegeta nyuki na baada ya hapo familia haikuwahi kupata taarifa zake.

Kwa yeyote atakae muona apige simu au atume msg au abipu
namba 0768344281 au 076755090 Asanteni kwa ushirikiano. Picha imeambatanishwa.
View attachment 357215
 
Walitakiwa wampeleke huko soba;
wamtafute huko sinza kijiweni huwa kuna vituo vingi vya hayo makitu.
 
Kwa hiyo wasihangaike kumtafuta ndugu yao? Kisa yupo na mateja wenzake? Doesn't make sense to me!!!
Kwani nimekuuliza kama kwako inamake au haimake sense?
Ni maoni yangu.
 
Kwani nimekuuliza kama kwako inamake au haimake sense?
Ni maoni yangu.
Wapi nimeandika kuwa umeuliza? Ndio maana ikawa public forum, if you make it public yoyote anaweza kukosoa maoni yako.
 
Wapi nimeandika kuwa umeuliza? Ndio maana ikawa public forum, if you make it public yoyote anaweza kukosoa maoni yako.
Kwani ukikosoa utabadilisha nini?
Msimamo wangu utabaki palepale.
 
Poleni kwa kupotelewa, jaribuni kuweka na picha ambazo hajavaa kibaragashia ili watu wamuone vizuri na iwe rahisi kujulikana.
 
Back
Top Bottom