Ongezea na hii... Rose Kamili ni Mke/Mtalaka wa Katibu Mkuu Dr Slaa. Mbunge Kiwia ni mjomba wa Mbunge aliyevuliwa Mhe Lema. Mkurugenzi wa Uchaguzi Mr Mrema ni shemeji wa Mbunge Salasini. nk nk.
Huo ndio ukweli, umewekwa hadharani peupee na hakuna ubishi.
Kwa mtizamo wa haraka haraka, CHADEMA inafanana na kampuni au NGO ya familia. Haiwezekani taasisi ya namna hii ikabidhiwe nchi itawale. Tz itakuwa imekwisha.
pamoja na hayo yote wamewavua magamba nguo balaa,sasa hapo ni hao tu waliotajwa hamkai mkatulia ,ingekuwa zaidi ya hapo si mgetoa roho kabisa,halafu wote ni majembe ya ukweli .chezea chadema weye utaumbuka.Kwani kunatofauti gani Baba yake , Mama yake na yeye mwenyewe? Si familia nzima bora hao dada, wachumba na wakwe....Ulitegemea watoke wapi wa kukiongoza chadema ? kama Wiliam na mama yake ni wa ccm?
uwezo ukiruhusu lazima maana uongozi sio urith ila ni uwezi.kwahiyo kama yuko vizuri tunamchagua tena kwa roho safi kabisaaaaa!Subiri na Josephine basi awe mBunge ili uchonge vizuri!
Kwani kunatofauti gani Baba yake , Mama yake na yeye mwenyewe? Si familia nzima bora hao dada, wachumba na wakwe....Ulitegemea watoke wapi wa kukiongoza chadema ? kama Wiliam na mama yake ni wa ccm?
FACTS OF NGO: Mwenyekiti ni Mkwe wa Mtei, Muasisi: Mbunge Grace Kiwelu ni Mkwe wa Mbunge Ndesamburo: Mbunge Lucy Owenya ni Mtoto wa Mbunge Ndesamburo; Mbunge Lissu ni Dada wa Mbunge Tundu Lissu: Mbunge Viti maalum Kigoma ni Mchumba wa Mbunge Zitto:
- SWALI: WAKISHIKA NCHI SI NDIO FAMILIA ZAO ZOTE NDIO ZITATAWALA JAMANI? HAWAJASHIKA NCHI TU HIVI SASA WAKISHIKA NCHI ITAKUWAJE? - LE MUTUZ. William J. Malecela