Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,681
CHUCK NORRISKuna ile movie aliigiza na chak noris anaweka watu kwenye kijumba anawamiminia sumu mpaka wanakufa
Apumzike anapostahili
Dah jamaa una kumbukumbu aiseee na pia lile panga analilambaKuna sehemu alimpiga yule mdada panga la tumbo, halafu wakati anakata roho akamnyonya mate.
Billy Eugene Burrows.
bora amebalnce natureRest In Peace, Billy Drago.
Wahenga wa miaka ya 90's tunamtambua kwa jina 'Carlos'View attachment 1140924View attachment 1140926
Kweli kabisa.Movie za action za zamani zilikuwa bora zaidi na zenye hisia, ukiiangalia haikutoki kichwani hizi za sasa hazina mvuto sana.
Noma sana mwananngu ila jamaa apumzike kwa amaniDah alikua nooma
CHUCK NORRIS
Huyo Chak noris yupi unayesemea wewe?Au ni binamu yako?
Kuna sehemu alimpiga yule mdada panga la tumbo, halafu wakati anakata roho akamnyonya mate.
Hahaa!! Dada yangu ile ni movie tu, sio maisha yake halisi..Nilikua namchukia sana
Hahaa!! Dada yangu ile ni movie tu, sio maisha yake halisi..
Umenikumbusha habari za bi mwenda wa kaole, hadi mtaani walikuwa wanamuogopa eti mchawi.πππ
Apumzike anapostahili