Will you Marry me Snowhite??

the bigger the ring the stronger the love,mtoa mada kazia hapo hapo.
 
Mtalingolo yaani hii bolti ndo unataka umvalishe pacha wangu snowhite ??..lol
Isitoshe ingependeza kama ungeanza kuwa karibu na mimi ili nikupigie ndogondogo!
 
Last edited by a moderator:
Hujachelewa kiongozi nibeep tu tuanze mchakato..
Unajua kama snowhite ni kitu cha kingoni??
Nyumbi bombi..

Duuh hapo chacha wajomba watakuwa wakina NgoNYANI, MaPUNDA ha haa
 
Last edited by a moderator:
Umeyakoroga shauri ya ubahili wako kila kitu ufanye mwenyewe kwanini haukufuata ushauri wa kaka zako. pete hata enzi yangu ilikuwa nzuri japo ilikuwa ya bati.
 
Hivi mpaka muda huu hamjaoana? Khaaaa.. Oaneni bhana. Na kama mnataka contribution semeni me ntatoa tumilion tuwili na bishanga kasema atatoa 30,000,000/=
 
Umeyakoroga shauri ya ubahili wako kila kitu ufanye mwenyewe kwanini haukufuata ushauri wa kaka zako. pete hata enzi yangu ilikuwa nzuri japo ilikuwa ya bati.

Basi naomba mwongozo na sampo ya pete inayotakiwa, hiyo niliuziwa kwenye basi mwenzio, naona hadi haya.
 
Hivi mpaka muda huu hamjaoana? Khaaaa.. Oaneni bhana. Na kama mnataka contribution semeni me ntatoa tumilion tuwili na bishanga kasema atatoa 30,000,000/=

Nimemtafuta Snowhite mji mzima sijamuona leo,
Afu mkuu hizo M-mbili nitumie kabisa zinisaidie kuweka jimbo sawa.
 

Mwanangu charminglady nimefika Salama baba yako watu8 amefurahi sana lile shati ulilomnunulia limemtosha vizuri mungu akubariki sana
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu umelenga ! Hayo ndy mapete ya kizungu!
Pete ka' la Malkia! Tena ifiche hapa waswazi watakuroga!
 
dahhhhhh hiyo Pete looohhh
sema hapana ndugu yangu hahahahaha lol:redface:
 
Mdogo wangu umelenga ! Hayo ndy mapete ya kizungu!
Pete ka' la Malkia! Tena ifiche hapa waswazi watakuroga!

Nimeificha kwenye kibubu che coin mkuu, hapa nilikuwa namsuprize tu
 
dahhhh hiyo pete ndugu yangu iko kama bolt...
mmmhh wekea basi hata oil ing'ae kidoncho :redface:

ngoja nikauwe hizo migongo kwa fundi chuma, utaipenda nakwambia. Na kwaupana huo na kataka kati zinatoka mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…