Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,987
- 142,362
mkuu, huyo PM halisi kujitokeza ni sawa na wewe kuambiwa (this minute, this moment, right bloody now) ku-surrender green card yako. je, unaweza mkuu (I mean like now now?)? uwe mkweli mkuu!In the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Majungu kazi sana ndio maana wanatapatapa tuIn the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
HIV kWa akili tu ya kawaida huyo makonda halisi anaweza kujitokeza?
Ataanzia wapi kwa mfano, hata walio karibu yake hakuna wakufumbua mdomo wake kusema chochote,
Maisha matamu bwana, nadhan unaelewa nn naamanisha hapa
Bashite na gwajima tuwashupalie watwambie, km hawwwezi basi wakate ndimi zao
Tutayajua mahakamani.Hakuna Paul Makonda kwa mujibu wa hii habari ukiifuatilia. Paul Makonda ni fictional Frankestein monster aliyeungwaungwa na Daudi Bashite.
Watu wanaogopa mno kuwaudhi viongozi wa serikali
usilaumu watu why hawajitokezi....Africa mtu hata waziri anaweza kuogopa kuongea ukweli
nimesoma historia ya Moi...aliwahi kuchapwa kibao akiwa ni makamu wa Rais
imagine that.....
Hakuna Paul Makonda kwa mujibu wa hii habari ukiifuatilia. Paul Makonda ni fictional Frankestein monster aliyeungwaungwa na Daudi Bashite.
Mahakama ishaambiwa kuna mhimili uliochimbiwa chini zaidi tayari.Tutayajua mahakamani.
Ila Paul Christian Muyenje sijui............ yupo?Hakuna Paul Makonda kwa mujibu wa hii habari ukiifuatilia. Paul Makonda ni fictional Frankestein monster aliyeungwaungwa na Daudi Bashite.
Unahongwa na wauza madawa ya kulevya kuja kumchafua shujaa wetu wa Dar??In the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.