Will CNN's Piers Morgan be deported from US?

Will CNN's Piers Morgan be deported from US?

Mpige simu Za umbea kwa mume wangu na wakwe Kama mlivyomtenda mange kimambi .mna wivu Kama ukoma siendagi kwa wabongo na siwataki kabisa.mlipiga simu mnataka kukidnap mtoto .wabonga nomaaaaaaaaa sina Muda nao umbea na uzushi kutwaaaaa

What is this streeter word "umbea" ha ha ha ha, that is what is in your diabolic delusional will-o'-thewismind. Phantasm syndrome is controlling you. Get married and find a life.
 
Jamii forum mpaka mama angu na ubalozi wake anakesha hapa

There is always Joker to see through the delusion. Generation succeeds generation, but there is a fool walking the earth who is never ravaged by time.
 
My lovely hubby owns 5 houses Ohio NY CT Maine(cabin)na New jersey .chezea Dr Rutherford wewe unajua Ana clinic ngapi ?kauze mkaa.yaani hau qualify kuwa my housekeeper

Pumba tupu
 
Tajiri wa ukweli yukoje na kwa nini asiweze kuja Jamiiforums?

.....yaani hawezi kuja hapa kutangaza kuwa yeye ni tajiri sana, bali anakuja hapa kujadili mambo ya maana na wanachama wengine. Ni kama wewe ulivyo tajiri sana lakini kila unapokuja hapa huwa unajadili mada na hata siku moja hujawahi kuandika hapa kuwa wewe ni tajiri sana ili eti uheshimiwe.
 
Hahahahaaaa jirani bana.
 
Jamii forum mpaka mama angu na ubalozi wake anakesha hapa

Mulugo nae pia ni waziri na anawezapewa ubalozi anytime. Balozi ni binadamu kama binadamu wengine. So what's the big deal balozi kuja JF? Hata waziri Mulugo ambae ana cheo kuliko balozi nae huja hapa
 
Piers Morgan is no threat to anyone. He can't win a debate over guns with anyone with an IQ above double digits. He is a nobody. When Piers Morgan lost an argument, he was left with juvenile tactic of name calling.

Last edited by a moderator:
Sema huyu jamaa kalikalia kidedea hili jambo kuliko wamarekani wenyewe.
Anajaribu kuwafundisha wamarekani ustaarabu,niko pamoja nae na pia naangalia sana show yake na ya yule gay Anderson Cooper,nawakubali sana wawili hawa
 
Wapi nitapata vitumbua na mimba hii kaka angu nipo gulford ct .yaani nimepika havitokei nimeambiwa nifuate Massachusetts .
MA kweli utapata,kuna waswahili kule ile mbaya,hasa wazanzibari ndio wamejaa sana,nenda boston ndio mambo yote.
 
Back
Top Bottom