Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Pole sana kamanda hawa jamaa kutoka kambini ni hatari sana walipewa mafunzo mengi wengine ni wapishi wa hotelini na wahudumu wa baa.

Laana ya kukimbia kimbia vyama inamuandama..
Kaka ye ni Daktari mkubwa, bila shaka ameishapeleka matibabu ya kutosha ,atapona haraka.TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CDM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare amelazwa hosipitali ya rufaa ya Bugado wadi namba J-2 chumba namba J217, baada ya kuzidiwa akiwa katika uchaguzi mdogo wa Igunga. Hata hivyo hali yake imeelezwa kuwa nzuri na bado anaendelea na matibabu yake. Inasemekana kuwa ugonjwa unaomsumbua ni Nemonia.
TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CDM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare amelazwa hosipitali ya rufaa ya Bugado wadi namba J-2 chumba namba J217, baada ya kuzidiwa akiwa katika uchaguzi mdogo wa Igunga. Hata hivyo hali yake imeelezwa kuwa nzuri na bado anaendelea na matibabu yake.
Inasemekana kuwa ugonjwa unaomsumbua ni Nemonia.

Topical unatumia makalio kufikiria?

Pole sana Kamanda.
Ila mbona kama huyu kamanda tokea atoke CUF mi namwona kama afya imedhoofika au? Hata wakati wa maandamano ya Mwanza nilimuona kama weak hivi!