Wilbrod Slaa yupo Ifakara leo

Status
Not open for further replies.

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,398
Reaction score
17,793
Katika mwendelezo wa kuchukua maoni ya katiba mpya kutoka kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA, katibu mkuu wa chama Dr Wilbroad Slaa atakuwa hapa mjini ifakara leo kuanzia muda wa saa kumi.

Mkutano utafanyika katika viwanja vya kiungani. Dr anatarajiwa kuwasili kwa choper muda wowote kuanzia sasa. Tayari watu wameshaanza kujisogeza. Ntawapatia kile kitachojiri.

leo mda huu Dr.Slaa anaongelea swala la Shekhe Ponda. Watu ni wengi sana na wanamshangilia sana, na kusema kuwa askari police kupiga risasi juu ya magoti kuwa walikusudia kuua.
Anashangazwa shehe Ponda kwenye kesi ndogo kusafirishwa na ndege ya jeshi la police huku wakishindwa kufukuzana na majambazi.

Anawapa pole wananchi wa Morogoro.
 
Nilikuwa hapa stendi ya Hood Moro nimeshtuka kuona chopa inazunguka anga la Mji, kumbe ni makamanda kazini.
Ujinga wa CCM wenzao CHADEMA wanacapitalize upon that!
Thumb up CHADEMA,
tupeni updates mayange.
 
Mie ntadondosha mipicha tuu,twendeni pamoja nipo LIVE uwanjani
 
Du kweli kuna watu wanatumia vichwa kufugia nywele,jamani jaribuni kujistreach a little bit mtaona mwanga.hizi buku saba za lumumba zinasumbua sana watu sasa huyu anayejiita OBAMA WA BONGO,anyway R.I.P OBAMA WA BONGO hicho ndo naweza kukusaidia nacho
 
Mie ntadondosha mipicha tuu,twendeni pamoja nipo LIVE uwanjani

mkuu Laurence .. fanya ile kitu watz na wana JF wanapenda... Dodondosha mapichaaaa... Lumumba project wazimie...
TUPITUPIA.. PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Du kweli kuna watu wanatumia vichwa kufugia nywele,jamani jaribuni kujistreach a little bit mtaona mwanga.hizi buku saba za lumumba zinasumbua sana watu sasa huyu anayejiita OBAMA WA BONGO,anyway R.I.P OBAMA WA BONGO hicho ndo naweza kukusaidia nacho
Tatizo la Obama wa Bongo ni njaa. Hawezi kulipwa kama hajatoa neno lo lote linalomhusu Slaa. Kwa sasa walishasema yote. Wakarudia na sasa yamechuja. Kwa hiyo alichoandika ndicho kakiona kipya. Jamani njaa pamoja na kutumika ni fedheha kubwa. Tafuta kazi bwana Obama wa Bongo. Short of that unajitafutia aibu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Naaaam Dr Slaa amemalza to Ifakara
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1377006318889.jpg
    91.4 KB · Views: 1,079
  • uploadfromtaptalk1377006348330.jpg
    53.8 KB · Views: 580
  • uploadfromtaptalk1377006379321.jpg
    45.9 KB · Views: 302
  • uploadfromtaptalk1377006402589.jpg
    75.3 KB · Views: 588
  • uploadfromtaptalk1377006487606.jpg
    113.1 KB · Views: 309
Du kweli kuna watu wanatumia vichwa kufugia nywele,jamani jaribuni kujistreach a little bit mtaona mwanga.hizi buku saba za lumumba zinasumbua sana watu sasa huyu anayejiita OBAMA WA BONGO,anyway R.I.P OBAMA WA BONGO hicho ndo naweza kukusaidia nacho
naona hapo ndio mwisho wako wa kufikiri dada Lekakui ,hivi ni lazima wote tuwe na mitazamo sawa?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…