Watuletee Kibada- Mwasonga-TundusonganiNi miaka minne sasa wilaya hii mpya (Km chache kutoka Ikulu ya Magogoni)haijajengwa hata KM 1 ya lami!!!Hayo Maendeleo yanafanyika wapi katika nchi hii?Kwa muhusika yeyoye atakayebisha juu ya habari hii aje na takwimu zake hapa.