Wilaya mpya ya Kisesa-Mwanza

Pia mheshimiwa alisema akipita basi kikao cha kwanza cha baraza la madiwani wa jiji la Mbeya kiwe kinahusu jinsi ya kugawa jiji hilo kutoa wilaya mbili.
 
stendi ya naymomngolo,soko na maonyesho ya nanenane watu wanayabeba duh wamecheza kama pele pole sana ilemela kupoteza nyamongolo
 
Chanzo tafadhali,,
 
Jiji la Mbeya ? Mbona sikuelewi ?
Pia mheshimiwa alisema akipita basi kikao cha kwanza cha baraza la madiwani wa jiji la Mbeya kiwe kinahusu jinsi ya kugawa jiji hilo kutoa wilaya mbili.
 
Wilaya ya Magu ina bahati mbaya sana, ilimegwa vyanzo vya mapato wakati wa kuunda wilaya ya Busega, sasa hivi tena inamegwa aiseee.
Magu ni wilaya mbovu sijawah ona , watumishi hopeless kabisa, viongozi outdated , ukabila na rushwa iliyokithiri
 
Wilaya mpya ya Itakuwa na Kata kama zilivyo kwenye Jimba la sasa la uchaguxi Kisesa. Hakuna jimbo la Usagara
 
mmmh kayenze ipo igombe kutoka igombe mpaka misungwi unapita nyamagana mbn Nyamagana haijaguswa?
 
Wilaya mpya ya Itakuwa na Kata kama zilivyo kwenye Jimba la sasa la uchaguxi Kisesa. Hakuna jimbo la Usagara
Hakuna kitu kama hicho. Kwa sababu kuna jimbo jingine linaitwa Kisesa huko Meatu. Hivyo hakuwezi kuwa na majimbo mawili yenye majina yanayofanana katika nchi moja. Ndio maana Jimbo tarajiwa likaitwa Usagara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…