Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,212 Reaction score 64,300 Jul 3, 2026 #1 Maisha ni kujipa furaha pale unapopata nafasi, maisha hayahitaji usiriazi sanaa, kama vile unataka kuvumbua sayari yako. Yote yanapita, muhimu kuipa furaha nafsi kwa kuwa wote tunaishi mara moja. Nipo tayari kwa mtoko wa wikiendi. Wananzengo, wikiendi hii tuende wapi?
Maisha ni kujipa furaha pale unapopata nafasi, maisha hayahitaji usiriazi sanaa, kama vile unataka kuvumbua sayari yako. Yote yanapita, muhimu kuipa furaha nafsi kwa kuwa wote tunaishi mara moja. Nipo tayari kwa mtoko wa wikiendi. Wananzengo, wikiendi hii tuende wapi?